top of page

Gentamycin Inatibu nini?

Ni dawa jamii ya aminoglycoside inayoumika kutibu maradi mbalimbali yanaosababishwa na bakteria. Baadhi ya magonjwa inayotibu ni: kusambaa kwa bakteria kwenye damu, magonjwa makali ya ngozi na mfumo wa upumuaji

bottom of page