top of page

Itraconazole inatibu nini?

Itraconazole ni dawa jamii ya azole inayotumika katika matibabu ya magonjwa mbalimbali yanayosababisha fangasi kwa mtu mwenye upungufu au asiye na upungufu wa kinga mwilini.

bottom of page