top of page
Levofloxacin inatibu nini?
Levofloxacin ni dawa ya antibayotiki ya kizazi cha tatu cha fluoroquinolone. Dawa hii huwa na uwezo mkubwa zaidi wa kuua bakteria jamii ya gramu chanya na hasi ukilinganisha na dawa za kizazi cha pili kama ciprofloxacin.
bottom of page
