top of page

Neurontin inatibu nini?

Ni dawa katika kundi la vizuia degedege inayotumika katika matibabu ya maumivu ya mishipa ya fahamu ya mfumo wa pembeni wa fahamu, na degedege jepesi.

bottom of page