top of page

PrEP katika kuzuia UKIMWI

PrEP ni dawa zinazotumika kuzuia mu maambukizi ya Virusi vya UKIMWI, dawa hizi hutumika kabla ya kufanya ngono. Kuna dozi mbalimbali za PrEP zinazopatikana hospitali, na kila moja inafaa kwa kundi.

bottom of page