top of page
Secnidazole inatibu nini?
Secnidazole ni dawa jamii ya nitroimidazole inayotumika kutibu maradhi yanayosababishwa na bakteria pamoja na protozoa ikiwa pamoja na trichomoniasis, moja ya ugonjwa wa zinaa na vajinosis ya bakteria.
bottom of page
