top of page
Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
Dkt. Mangwella S, MD
19 Julai 2023, 20:43:48

Acha kuvuta sigara
Sigara ni moja ya vyanzo vya magonjwa ya moyo. Ukiacha kuvuta sigara kwa mwaka mmoja utapunguza kwa asilimia hamsini hatari ya shambulio la moyo kuliko mvutaji.
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile kiafya baada ya kusoma vidokezo hivi
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa elimu na ushauri zaidi kupitia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba' Chini ya tovuti hii.
Imeandikwa:
12 Januari 2021, 11:58:47
Rejea za mada hii:
bottom of page
