top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt. Helen L, M.D
Alhamisi, 14 Januari 2021
Degedege kwa kichanga
Degedege kwa motto mchanga mara nyingi huwa ni dalili ya kupungua kwa kiwango cha sukari mwilini. Mnyonyeshe mwanao angalau kwa dakika 15 hadi 20 angalau mara nane kwa siku kuzuia kushuka kwa sukari mwilini.
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile kiafya baada ya kusoma vidokezo hivi
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa elimu na ushauri zaidi kupitia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba' Chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
19 Julai 2023 20:41:55
Rejea za mada hii:
bottom of page