top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt. Mangwella S, MD
Jumanne, 12 Januari 2021
Epuka chumvi ya kuongezea| ULY CLINIC
Ili uwe na shinikizo la kawaida la damu, usiongeze chumvi kwenye chakula, weka kidogo unapopika, na epuka chumvi ya kuongezea wakati wa kula.
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile kiafya baada ya kusoma vidokezo hivi
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa elimu na ushauri zaidi kupitia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba' Chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
19 Julai 2023 20:43:48
Rejea za mada hii:
bottom of page