top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt. Mangwella S, MD
Jumanne, 12 Januari 2021
Epuka unene
Unene huongeza hatari ya magonjwa ya moyo na mishipa ya damu. Kula vyakula visivyo na mafuta mengi, matunda na mboga za majani, na fanya mazoezi ili kuwa na uzito wa kiafya.
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile kiafya baada ya kusoma vidokezo hivi
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa elimu na ushauri zaidi kupitia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba' Chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
19 Julai 2023, 20:43:48
Rejea za mada hii:
bottom of page