top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt. Salome A, MD
Alhamisi, 14 Januari 2021
Homa kwa mama mjamzito
Homa kwa mama mjamzito ni dalili mojawapo ya ugonjwa unaoweza kuwa hatari kwa mtoto tumboni. Wahi hospitali kwa matibabu upatwapo na homa.
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile kiafya baada ya kusoma vidokezo hivi
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa elimu na ushauri zaidi kupitia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba' Chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
19 Julai 2023 20:43:16
Rejea za mada hii:
bottom of page