top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Charles W, M.D

Jumatatu, 15 Februari 2021

Ili mwanao ale vema, muonyeshe mfano

Ili mwanao ale vema, muonyeshe mfano

Mzazi unaweza kuwa mfano wa kuigwa na mwanao katika suala la kupenda kula vyakula vya kiafya kama matunda aina tano na mboga za majani kila siku huku ukiachana na vyakula au vinywaji vyenye sukari kwa wingi. Mwanao akila vyakula mbalimbali vya kiafya hatakataa chakula na atakuwa vema kimwili na kiakili.

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile kiafya baada ya kusoma vidokezo hivi

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa elimu na ushauri zaidi kupitia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba' Chini ya tovuti hii.

Imeboreshwa,

19 Julai 2023 20:41:21

Rejea za mada hii:

bottom of page