top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt Peter A, MD
Alhamisi, 14 Januari 2021
Kutokwa damu wakati wa ujauzito ni dalili ya hatari
Kutokwa na damu ukeni wakati wa ujauzito ni moja ya dalili hatari kwenye ujauzito wako, endapo unatokwa damu, wasiliana na daktari wako haraka uwezavyo kwa uchunguzi ushauri na tiba.
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile kiafya baada ya kusoma vidokezo hivi
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa elimu na ushauri zaidi kupitia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba' Chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
19 Julai 2023 20:43:02
Rejea za mada hii:
bottom of page