top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Mangwella S, MD

Jumanne, 12 Januari 2021

Magonjwa kwa kichanga

Magonjwa kwa kichanga

Magonjwa mengi yanayo mpata mtoto kabla ya siku 5 baada ya kuzaliwa, huyapata kutoka kwa mama. Pima afya yako na pata matibabu, mkinge mwanao.

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile kiafya baada ya kusoma vidokezo hivi

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa elimu na ushauri zaidi kupitia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba' Chini ya tovuti hii.

Imeboreshwa,

19 Julai 2023 20:43:48

Rejea za mada hii:

bottom of page