top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Lugonda M, M.D

Jumatano, 13 Januari 2021

Magonjwa ya utotoni

Magonjwa ya utotoni

Watoto wachanga wane (4) hadi watano (5) kati ya 1000 hushambuliwa na magonjwa ya utotoni, muwahishe mwanao hospitali pindi apatapo dalili za kuumwa.

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile kiafya baada ya kusoma vidokezo hivi

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa elimu na ushauri zaidi kupitia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba' Chini ya tovuti hii.

Imeboreshwa,

19 Julai 2023 20:43:34

Rejea za mada hii:

bottom of page