top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Salome A, MD

Jumatano, 13 Januari 2021

Magonjwa yanaoathiri uke, humwathiri kichanga

Magonjwa yanaoathiri uke, humwathiri kichanga

Magonjwa yanayoathiri uke huweza kushambulia chupa ya uzazi na kupelekea mimba kutoka au kumpata kichanga wakati wa kujifungua. Tambua na pata tiba mapema ili kuukinga ujauzito wako na kichanga

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile kiafya baada ya kusoma vidokezo hivi

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa elimu na ushauri zaidi kupitia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba' Chini ya tovuti hii.

Imeboreshwa,

19 Julai 2023 20:43:21

Rejea za mada hii:

bottom of page