top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt. Salome A, MD
Jumatano, 13 Januari 2021
Magonjwa yanayoshambulia kuta za mji wa mimba
Mtoto mchanga 1 kati ya 10 hushambuliwa na magonjwa kutokana na magonjwa yanayoshambulia kuta za mji wa mimba. Wahi tiba mkinge mwanao.
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile kiafya baada ya kusoma vidokezo hivi
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa elimu na ushauri zaidi kupitia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba' Chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
19 Julai 2023 20:43:21
Rejea za mada hii:
bottom of page