top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt. Lugonda M, M.D
Jumanne, 12 Januari 2021
Mahudhurio mabovu ya kliniki
Mahudhurio mabovu ya kliniki wakati wa ujauzito huhatarisha afya ya mama na mtoto aliye tumboni. Hudhuria kliniki kwa afya bora ya mama na mtoto.
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile kiafya baada ya kusoma vidokezo hivi
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa elimu na ushauri zaidi kupitia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba' Chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
19 Julai 2023 20:43:43
Rejea za mada hii:
bottom of page