top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt Peter A, MD
Alhamisi, 14 Januari 2021
Matumizi ya vilevi kwa mama mjamzito| ULY CLINIC
Matumizi ya pombe na dawa ya kulevya kwa mjamzito ni hatari kwa afya ya mama na ya mtoto. Epuka pombe na dawa za kulevya wakati wa ujauzito.
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile kiafya baada ya kusoma vidokezo hivi
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa elimu na ushauri zaidi kupitia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba' Chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
19 Julai 2023 20:43:02
Rejea za mada hii:
bottom of page