top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt. Charles W, M.D
Jumanne, 16 Februari 2021
Mtoto akiwa na homa
Mtoto akiwa na homa ya nyuzi joto za selsiasi 38 au zaidi kwa siku tatu mfululizo, isiyoshuka kwa dawa au kupata dalili za hatari kama degedege, harara kwenye ngozi, kukakamaa shingo, maumivu ya kichwa, kuharisha, vidonda kooni, maumivu ya sikio, kukataa kula au kunywa, kuwa dhaifu au kutapika. Wasiliana na daktari mara moja.
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile kiafya baada ya kusoma vidokezo hivi
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa elimu na ushauri zaidi kupitia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba' Chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
19 Julai 2023 20:41:21
Rejea za mada hii:
bottom of page