top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
Dkt. Helen L, M.D
Alhamisi, 14 Januari 2021
Vyakula tofauti na maziwa kwa kichanga
Vyakula tofauti na maziwa ya mama husababisha majeraha katika mfumo wa chakula wa kichanga yanayoweza kupelekea magonjwa ya kuharisha. Mnyonyeshe mtoto kwa miezi sita ya kwanza kumkinga.
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile kiafya baada ya kusoma vidokezo hivi
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa elimu na ushauri zaidi kupitia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba' Chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
19 Julai 2023 20:41:55
Rejea za mada hii:
bottom of page