top of page

Mwandshi:

ULY CLINIC

21 Jul 2021

5/7

5/7

5/7 maana yake nini?

5/7 katika tiba humaanisha siku 5 katika wiki

Kama umeandikiwa dozi ya dawa na ikawekwa 5/7 inamaanisha dawa hiyo itumike kwa muda wa siku 5.


Vifupisho vingine vinavyoashiria muda wa siku saba za wiki

Idadi ya kutumia dawa katika wiki inaweza kuandikwa kwa namba ya siku dawa inapotakiwa kutumika chini ya 7. Mfano

  • 1/7 humaanisha dawa inatumika siku 1 au dozi ya siku 1

  • 2/7 humaanisha dawa itumike kwa muda wa siku 2 au dozi ya siku 2

  • 3/7 humaanisha dawa itumike kwa siku 3 au dozi ya siku 3

  • 4/7 humaanisha dawa itumike kwa siku 4 au dozi ya siku nne

  • 6/7 humaanisha dawa itumike kwa siku 6 au dozi ya siku 6

  • 7/7 humaanisha dawa itumike kwa siku 7 au dozi ya siku 7

ULY CLINIC inakukumbusha siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri zaidi na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote binafasi inayohusu afya yako.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya 'Pata tiba' Au 'mawasiliano yetu' chini ya tovuti hii.

Imeboreshwa,

15 Agosti 2023 18:09:28

1. What does 7 7 mean on a prescription?. https://askinglot.com/what-does-7-7-mean-on-a-prescription. Imechukuliwa 20.07.2021

2. Common terms and abbreviations in clinical files. https://www.legalaid.vic.gov.au/book/export/html/2896. Imechukuliwa 20.07.2021

bottom of page