top of page
Mwandshi:
ULY CLINIC
21 Jul 2021
noct
noct kirefu chake ni nini?
noct ni kifupi cha neno la Kilatini nocturnal lenye maana ya ‘usiku’
Katika tiba, endapo kifupisho hiki kimetumika kwenye cheti cha dawa au tiba hubaanisha dawa ‘itumike usiku’.
Vifupisho mbadala na noct
Vifupisho vinavyotumika kumaanisha noct kama ikiandikwa kwenye cheti cha dawa ni;
nocte
NOCT
NOCTE
ULY CLINIC inakukumbusha siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri zaidi na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote binafasi inayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya 'Pata tiba' Au 'mawasiliano yetu' chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
15 Agosti 2023, 17:58:59
1. Abbreviations used in prescriptions. https://catalog.hardydiagnostics.com/cp_prod/Content/hugo/AbbreviationsUsedInPrescriptions.htm. Imechukuliwa 21.07.2021
bottom of page