top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

WAMJW

Dkt. Benjamin L, MD

2 Aprili 2026, 16:07:08

Chanzo cha anuai ya Delta

Anuai mpya ya Delta imetokana na mabadiliko ndani ya vinasaba vya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19. Mabadiliko haya yamepelekea kirusi hiki;


  • Kuwa na uwezo mkubwa zaidi wa kuambukiza

  • Kusambaa na kusababisha ugonjwa mkali wa UVIKO-19


Mabadiliko katika vinasaba vya virusi vinavyosababisha UVIKO-19 hutokea kwa urahisi mara pindi virusi hivi vinapokuwa ndani ya watu wenye upungufu wa kinga mwilini hali ambayo inaruhusu mabadiliko hayo kwa urahisi zaidi

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 16:07:08

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

Rejea za mada hii:

bottom of page