Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
Dkt. Charles W, M.D
2 Aprili 2026, 16:17:51

Ivermectin imethibitishwa kutibu COVID-19
Ivermectin, inayotumika kutibu maradhi ya vilemea mbalimbali, imeonekana katika tafiti kuwa na uwezo wa kuzuia usafirishaji wa protini muhimu zinazotengeneza kirusi, kuzuia kujishikiza kwa kirusi kwenye ukuta wa seli ya binadamu na kuzuia uzalishaji wa kemikali zinazoleta dalili kali za COVID-19.
Historia ya matumizi
Ivermectin ni dawa iliyopitishwa zamani na shirika la dawa amerika kwa ajili ya matibabu ya vimelea vya maradhi wanaosabanisha magonjwa ya upofu wa mtoni (onchocerciasis), minyoo helminthiases, na ugonjwa wa scabies
Virusi vinavyotibiwa na dawa hii
Kwa miaka ya karibuni dawa hii imeonekana kuwa na uwezo wa kutibu au kuzuia uzalianaji wa viini vinavyosababisha maradhi mbalimbali ambavyo;
SARS-CoV-2
Simian virus SV40
Dengue virus
West Nile Virus
Venezuelan equine encephalitis virus
Influenza
Pseudorabies virus
Zika virus
HIV
Tafiti nyingi zinaita kufanyika kwa tafiti zaidi kuona ni kwa namna gani dawa hii inaweza kufanya kazi kuzuia uzalishaji wa viini vya maradhi mbali na ile ya awali ya kutibu magonjwa yatokanayo na vimelea vya maradhi kama
Namna gani dawa hii inatibu ugonjwa wa COVID-19
Majaribio ya kisayansi yanayonyesha kuwa Ivermectin huzuia uzalishaji wa kirusi cha SARS-CoV-2 kinachosababisha COVID-19 kwa;
Kuzuia usafirishaji wa protini muhimu zinazotengeneza kirusi
Kuzuia kujishikiza kwa kirusi kwenye ukuta wa seli ya binadamu
Kuzuia uzalishaji wa kemikali zinazoongeza michomo ndani ya mwili
Matumizi
Namna ya kutumia dawa hii kwenye matibabu ya COVID 19, wasiliana na daktari wako
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 16:17:51
ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.
Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.
Rejea za mada hii:
