Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
Dkt. Benjamin L, MD
2 Aprili 2026, 16:07:17

Kikokotoo cha BMI na Ushauri wa Mlo wa wiki
BMI (Uwiano wa Uzito kwa Urefu)Â ni kipimo kinachotumika kutathmini kama mtu ana uzito unaofaa kulingana na urefu wake. Kinahesabiwa kwa kugawanya uzito (kwa kilo) kwa mraba wa urefu (kwa mita).
Kipimo hiki ni muhimu kwa sababu
Husaidia kutambua kama mtu ana uzito mdogo, wa kawaida, uzito uliopita kiasi, au unene uliopitiliza.
Hutoa mwongozo wa kiafya kuhusu lishe bora na mabadiliko ya mtindo wa maisha.
Huwezesha mtu kupanga aina ya mlo wa kila siku ili kupunguza, kuongeza, au kudumisha uzito.
Ni nyenzo rahisi ya kuzuia magonjwa yanayohusiana na uzito kama vile kisukari, shinikizo la damu, na magonjwa ya moyo.
Kikokotoo hiki kitakusaidia kujua BMI yako na kisha kukupatia mpango wa mlo wa wiki unaofaa kulingana na hali yako ya sasa ya kiafya.
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 16:07:17
ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.
​
Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.
