top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

ULY CLINIC

ULY CLINIC

24 Agosti 2026, 03:43:22

Utapata mtoto wa Kiume au Kike?: Kikokotoo

Kikokotoo hiki kimeundwa kukusaidia kukisia jinsia ya mtoto anayetarajiwa kwa kutumia mchanganyiko wa dalili za kawaida za ujauzito na Kalenda ya Jinsia ya Kichina. Njia hizi zimetokana na imani na tafsiri za jadi zinazotumika katika tamaduni mbalimbali, na hutumiwa zaidi kwa kuburudisha na kujifunza, si kwa uthibitisho wa kitabibu.


Ingiza taarifa zako kwa urahisi, kisha bofya Tabiri Jinsia ili kuona matokeo. Kumbuka kuwa njia za uhakika wa kujua jinsia ya mtoto ni vipimo vya kitabibu kama ultrasound, hivyo matokeo ya kikokotoo hiki hayapaswi kuchukuliwa kama uhakika kamili.


NB: Ili kupata mwaka wako kirahisi, bofya mwaka unaoonekana utaletewa miaka mingine ya nyuma

Ombi la Ushiriki wa Watumiaji (Kwa Madhumuni ya Utafiti)

Kikokotoo hiki kimeandaliwa kwa lengo la kukisia jinsia ya mtoto kwa kutumia dalili za ujauzito na Kalenda ya Kichina ya Utabiri wa Jinsia. Kwa kuwa mbinu hizi si za kitabibu na hazijathibitishwa kisayansi, tunawaomba watumiaji waliotumia kikokotoo hiki kuripoti matokeo halisi baada ya kujifungua.


Ushiriki wako utatusaidia kuchambua kama kikokotoo hiki kinafanana na matokeo halisi au la, na hivyo kutupa fursa ya kufanya utafiti wa kielimu na kijamii kuhusu ufanisi wa mbinu hizi za jadi. Taarifa zitakazokusanywa zitatumika kwa madhumuni ya utafiti pekee, bila kutaja majina au taarifa binafsi za mshiriki.


Ikiwa tayari umetumia kikokotoo hiki na umejifungua, tafadhali tushirikishe matokeo yako. Ushiriki wako ni wa hiari, lakini una mchango mkubwa katika kuongeza uelewa na maarifa kwa wazazi wengine na haswa kwenye Bara letu la Afrika. Unaweza kushiriki utafiti kwa

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 19:07:19

ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.

​

Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.

Rejea za mada hii:

  1. Needham J. Science and civilisation in China. Vol. 2: History of scientific thought. Cambridge: Cambridge University Press; 1954.

  2. Eberhard W. A dictionary of Chinese symbols: Hidden symbols in Chinese life and thought. London: Routledge; 1986.

  3. Lam C. The Chinese gender prediction chart: Myth and cultural practice. Asian Folklore Stud. 2012;71(2):215–228.

  4. Cunningham FG, Leveno KJ, Bloom SL, Dashe JS, Hoffman BL, Casey BM, et al. Williams obstetrics. 26th ed. New York: McGraw-Hill Education; 2022.

  5. American Pregnancy Association. Early pregnancy symptoms [Internet]. Irving (TX): American Pregnancy Association; 2023 [cited 2026 Feb 9]. Available from: https://americanpregnancy.org

  6. Chou C, Huang Y, Lee C. Maternal pregnancy symptoms and perceived fetal sex: An observational study. J Reprod Health. 2018;15(4):201–207.

  7. Kahneman D. Thinking, fast and slow. New York: Farrar, Straus and Giroux; 2011.

  8. Gigerenzer G. Gut feelings: The intelligence of the unconscious. New York: Viking Press; 2008.

  9. Shortliffe EH, Cimino JJ. Biomedical informatics: Computer applications in health care and biomedicine. 4th ed. New York: Springer; 2015.

  10. World Health Organization. WHO guideline: Recommendations on digital interventions for health system strengthening. Geneva: WHO; 2019.

  11. Nielsen J. Usability engineering. San Francisco: Morgan Kaufmann; 2020.

  12. U.S. Food and Drug Administration. General wellness: Policy for low risk devices [Internet]. Silver Spring (MD): FDA; 2022 [cited 2026 Feb 9]. Available from: https://www.fda.gov

  13. Mozilla Developer Network. Window.print() [Internet]. Mozilla; 2024 [cited 2026 Feb 9]. Available from: https://developer.mozilla.org

  14. World Wide Web Consortium (W3C). CSS print media queries specification [Internet]. W3C; 2023 [cited 2026 Feb 9]. Available from: https://www.w3.org

bottom of page