Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
ULY CLINIC
ULY CLINIC
2 Aprili 2026, 16:07:15

Visababishi-Maumivu, Muwasho na Ute kwenye mrija wa mkojo-Mwanaume: Kikokotoo
Kikokotoo hiki kimetengenezwa ili kusaidia mtu kupata ufahamu wa haraka kuhusu visababishi mbalimbali vya maumivu, muwasho na kutokwa na ute kwenye mrija wa mkojo (yurethra) kwa mwanaume. Dalili hizi zinaweza kusababishwa na magonjwa tofauti kama maambukizi ya bakteria, virusi, fangasi, magonjwa ya zinaa, majeraha, au hata sababu zisizo za ugonjwa kama msuguano au mkojo uliokolea.
Kwa kuchagua aina ya tatizo kutoka kwenye menyu, kikokotoo kitakuonyesha orodha ya sababu zinazoweza kuhusishwa na dalili hiyo. Lengo ni kukupa mwanga kuhusu uwezekano unaoweza kuhitaji kufuatiliwa na mtaalamu wa afya.
Hata hivyo, kikokotoo hiki hakitoi utambuzi wa ugonjwa. Ni msaada wa elimu tu. Kwa utambuzi sahihi, vipimo na ushauri wa tiba, ni muhimu kumwona daktari au mtaalamu wa afya.
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 16:07:15
ULY CLINIC inashauri usitegemee au kufuata ushauri wowote uliyoona kwenye makala hii bila kuwasiliana kwanza na daktari wako. Kabla ya kuchukua hatua yoyote ya matibabu, hakikisha umepata ushauri rasmi kutoka kwa daktari wako ili kuepuka madhara yoyote yanayoweza kutokea.
​
Makala hii ni ya kielimu tu na haitumiki kama mbadala wa matibabu ya daktari.
Rejea za mada hii:
World Health Organization (WHO). Urinary tract infections: Diagnostics and treatment guidelines. WHO Press; 2022.
Centers for Disease Control and Prevention (CDC). Sexually transmitted infections treatment guidelines. CDC; 2021.
Mayo Clinic. Urethritis: Symptoms and causes. Mayo Clinic; 2023.
Cleveland Clinic. Prostatitis: Overview, symptoms, causes. Cleveland Clinic; 2023.
BMJ. Wagenlehner FM, Bonkat G, Bjerklund Johansen TE. Diagnosis and management of urinary tract infections. BMJ. 2020;369:m1312.
