top of page

Maana

​

Dalili

​

Visababishi

​

Vipimo

​

Matibabu

Imeandikwa  na daktari wa ULY-Clinic

 

 

 

Maana ya Akalezia

​

Akalezia ni tatizo linalotokea kwa nadra sana, hutokea kwa mtu mmoja(1) kati ya watu 100,000. Dalili kuu ikiwa ni kushindwa kumeza chakula na vinywaji vema au kwa shida.

 

Watu wengi wanaopata tatizo hili huwa kwenye umri kati ya miaka 25 hadi 60. Ingawa tatizo haliwezi tibika, dalili huweza kudhibitiwa kwa matibabu.

​

Endelea kusoma zaidi kuhusu , Dalili, Visababishi, VIpimo na  Matibabu, kwa kutumia barua pepe yako tu

​

ULY Clinic inakushauri uwasiliane na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile dhidi ya afya yako

​

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba, piga namba za simu au bonyeza sehemu imeandikwa "pata Tiba" chini ya tovuti hii.

​

Imeboreshwa 25. 3.2020

Kushindwa-kumeza-chakula-Akalezia-ulycli
bottom of page