Kuhusu Programu
Uandaaji wa lishe bora ya mtoto unahitaji kuchagua viungo vyenye virutubisho, kuhakikisha usafi, kupima uwiano sahihi wa virutubishi, na kutumia mbinu za uandaaji zinazohifadhi ubora wa chakula. Kwa kufuata hatua zote 10 kuanzia uchaguzi wa nafaka hadi ufuatiliaji wa ukuaji, mzazi anaweza kutengeneza unga wa lishe wenye ubora na salama kwa ukuaji na afya ya mtoto.
You can also join this program via the mobile app. Go to the app
Utangulizi
Sehenu ya 0: Maswali ya upimaji wa uelewa wa awali
.3 steps
Gharama
Free
