top of page
Imeandikwa na ULY CLINIC
Maambukizi kwenye macho
Maambukizi ambayo hayajazama ndani ya macho hutibika kwa dawa za kupaka au kuweka kwenye macho. Ugonjwa wa blepharitiz na konjaktivitiz mara nyingi husabaishwa na maambukizi ya bakteria staphylococci, ugonjwa wa kerataitizi na endofuthalmaitizi huweza kusababishwa na maambukizi ya bakteria, virusi au fangasi.
Dawa zinazotumika kwa ajili ya maambukizi ya bakteria ni
-
Gentamicin
-
Tobramycin
-
Azithromycin
-
Cefuroxime
-
Ciprofloxacin
-
Moxifloxacin
-
Levofloxacin
-
Ofloxacin
-
Chloramphenicol
-
Fusidic acid
Dawa za kutibu maambukizi ya protozoa
-
Propamidine isetionate
bottom of page