Mwandishi:
Dkt. Sospeter B, MD
Mhariri:
Dkt. Salome A, MD

Majina mengine ya dydrogesterone
Dydrogesterone hufahamika pia kwa majina mengine ya kibiashara kama:
Duphaston
Dufaston
Namna inavyofanya kazi
Duphaston hufanya kazi kwa kuigiza kazi zinazofanywa na homoni asili inayozalishwa mwilini yenye jina la progesterone. Dawa hii huimarisha na kusawazisha madhaifu yanayotokana na upungufu wa homoni progesterone
Matumizi ya Duphaston
Duphaston ya kidonge hutumika kutibu madhaifu yafuatayo yanayohusiana na upungufu wa homoni progesterone.
Endometriosis ( kukua kwa tishu za kuta za ndani ya kizazi nje ya kizazi)
Kutokwa na damu pasipo mpangilio wakati wa hedhi
Dalili tangulizi za hedhi zilizo kali
Ugumba una
Kuharibika kwa mimba
Maumivu makali wakati wa hedhi
Kukosa hedhi
Hedhi isiyoeleweka
Wakati gani hairuhusiwi kutumia dphastone
Haipaswi kutumika kwa watuw enye mzio na dawa hii
Kwa wenye saratani ya meningioma
Kuwa na tatizo la kutokwa damu ukeni pasipo kufahamika sababu
Dawa zenye mwingilino na duphaston
Abciximab
Acenocoumarol
Alteplase
Ancrod
Anistreplase
Antithrombin Alfa
Antithrombin III human
Apixaban
Ardeparin
Argatroban
Bemiparin
Betrixaban
Bivalirudin
Cangrelor
Dabigatran etexilate
Dabigatran
Dalteparin
Danaparoid
Defibrotide
Desirudin
Dextran
Dicoumarol
Dipyridamole
Drotrecogin alfa
Edetic acid
Edoxaban
Enoxaparin
Epoprostenol
Fluindione
Fondaparinux
Heparin
Lepirudin
Nadroparin
Parnaparin
Pentosan polysulfate
Phenindione
Phenprocoumon
Prasugrel
Protein C
Protein S human
Reteplase
Reviparin
Rivaroxaban
Sodium citrate
Streptokinase
Sulodexide
Tenecteplase
Ticagrelor
Tinzaparin
Triflusal
Urokinase
Vorapaxar
Warfarin
Ximelagatran
Amiodarone
Amprenavir
Aprepitant
Atazanavir
Berotralstat
Boceprevir
Ciprofloxacin
Clarithromycin
Clozapine
Cobicistat
Conivaptan
Crizotinib
Curcumin
Cyclosporine
Danazol
Darunavir
Delavirdine
Desvenlafaxine
Diltiazem
Dronedarone
Efavirenz
Elvitegravir
Ergotamine
Erythromycin
Fluconazole
Fluvoxamine
Fosnetupitant
Fusidic acid
Indinavir
Isavuconazole
Isavuconazonium
Isoniazid
Isradipine
Itraconazole
Ketoconazole
Levoketoconazole
Linagliptin
Lonafarnib
Lopinavir
Lovastatin
Methimazole
Miconazole
Midostaurin
Milnacipran
Nefazodone
Nelfinavir
Maudhi na madhara
Kutokwa damu ukeni
Kipanda uso
Maumivu ya kichwa
Kichefuchefu
Kutapika
Maumivu ya tumbo
Maumivu ya matiti yakiguswa
13 Juni 2023 19:18:46
Dawa dydrogesterone
Imeboreshwa,
2 Aprili 2023 12:07:04
Dawa yoyote ni sumu, usitumie dawa pasipo ushauri wa daktari kuepuka madhara kwenye ogani mbalimbali kama figo na ini. Matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari unaweza kusababisha madhara na usugu wa vimelea vya maradhi kwenye dawa.
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baad aya kusoma makala hii.
Kupata ushauri zaidi na tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya Mawasiliano yetu au Pata tiba.
Rejea za mada hii:
Bäck SE, et al. Age dependence of renal function: clearance of iohexol and p-amino hippurate in healthy males. Scand J Clin Lab Invest. 1989 Nov;49(7):641–646.
Bax RP, et al. The pharmacokinetics of meropenem in volunteers. J Antimicrob Chemother. 1989 Sep;24 (Suppl A):311–320.
Burman LA, et al. Pharmacokinetics of meropenem and its metabolite ICI 213,689 in healthy subjects with known renal metabolism of imipenem. J Antimicrob Chemother. 1991 Feb;27(2):219–224.
Christensson BA, et al. Pharmacokinetics of meropenem in subjects with various degrees of renal impairment. Antimicrob Agents Chemother. 1992 Jul;36(7):1532–1537.
DAVIES DF, SHOCK NW. Age changes in glomerular filtration rate, effective renal plasma flow, and tubular excretory capacity in adult males. J Clin Invest. 1950 May;29(5):496–507.
Douglas JG, et al. The pharmacokinetics of cefuroxime in the elderly. J Antimicrob Chemother. 1980 Jul;6(4):543–549.
Granerus G, et al. Reference values for 51Cr-EDTA clearance as a measure of glomerular filtration rate. Scand J Clin Lab Invest. 1981 Oct;41(6):611–616.
Harrison MP, et al. The disposition and metabolism of meropenem in laboratory animals and man. J Antimicrob Chemother. 1989 Sep;24 (Suppl A):265–277.
Jones RN, et al. In-vitro studies of meropenem. J Antimicrob Chemother. 1989 Sep;24 (Suppl A):9–29.
Krutzén E, et al. Plasma clearance of a new contrast agent, iohexol: a method for the assessment of glomerular filtration rate. J Lab Clin Med. 1984 Dec;104(6):955–961.
Ljungberg B, et al. Pharmacokinetics of antimicrobial agents in the elderly. Rev Infect Dis. 1987 Mar-Apr;9(2):250–264.