top of page

Mwandishi:

Dkt. Mercy M, CO

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

kirusi mumps-ulyclinic

Ethosuximide ni moja kati ya dawa inayotumika kuzuia na kupunguza degedege lisiloonekana na la petit mal.


Majina ya kibishara


Majina ya kibashara ya Ethosuximide ni Zarontin


Ethosuximide ipo kundi gani la dawa?


Ethosuximide ni dawa iliyo katika kundi la;


  • Anticonvulsants

  • Succinimide


Dawa zilizo kundi moja na Ethosuximide


Dawa zilizo kundi moja na Ethosuximide ni;


  • Celothin

  • Methsuximide

  • Zarontin


Fomu


Dawa hii ipo katika fomu ya;


  • Tembe

  • Silapu


Uzito


Ethosuximide ina uzito ufuatao;


Tembe


  • 250mg


Silapu


  • 250mg/5ml


Ethosuximide hutibu nini?


Hutumika kutibu degedege lisiloonekana na lile la petit mal


Namna Ethosuximide inavyoweza kufanya kazi


Ethosuximide inafanya kazi ya kujishikiza kwenye njia za calcium aina T. Njia za calcium aina T hufanya kazi ya kubadirisha kuingia kwa iyoni za calcium kwenye chembe za mishipa ya fahamu na zinahusika kwenye na hivyo kupunguza uzalishaji wa umeme.


Ufyozwaji wa dawa


Ufyozwaji wa dawa hii hufanyika kwenye mfumo wa chakula, kiwango cha dawa kinachoonekana kwenye damu ni hadi 93% baada ya mtu kumeza.


Mwingiliano wa Ethosuximide na chakula


Dawa hii inaweza kutumika mtu akiwa amepata au maziwa.


Wagonjwa wasiopaswa kutumia Ethosuximide


  • Wagonjwa wenye mzio wa Ethosuximide.

  • Wagonjwa wenye mzio wa dawa jamii ya succinimide.


Utoaji taka wa Ethosuximide mwilini


Dawa hii hutolewa njee kwa njia ya figo na bile.


Matumizi ya Ethosuximide kwa mama mjamzito


Hakuna tafiti zinazoonesha madhara ya dawa hii kwa mama mjamzito na kwa mtoto aliyeko tumboni hivyo tahadhari inatakiwa wakati mama anatumia dawa hii.


Matumizi ya Ethosuximide kwa mama anayenyonyesha


Tafiti zinaonesha kuwa dawa hii inatolewa kwenye maziwa ya mama lakini haijaonesha madhara kwa mtoto hivyo tahadhari inatakiwa wakati mama anatumia dawa hii.


Dawa zenye muingiliano na Ethosuximide


Dawa zenye mwingiliano mkali na hivyo kutofaa kutumika pamoja na Ethosuximide

  • Abametapir

  • Apalutamide

  • Bremelanotide

  • Brigatinib

  • Calcium/magnesium/potassium/sodium oxybates

  • Conivaptan

  • Enzalutamide

  • Fexinidazole

  • Idelalisib

  • Ivosidenib

  • Lumacaftor/ivacaftor

  • Metoclopramide intranasal

  • Mifepristone

  • Mobocertinib

  • Nefazodone

  • Pexidartinib

  • Primidone

  • Sodium oxybate

  • Sotorasib

  • Tucatinib

  • Voxelotor


Dawa zinazoweza kutumika na Ethosuximide chini ya uangalizi

  • Amobarbital

  • Atazanavir

  • Belzutifan

  • Berotralstat

  • Blinatumomab

  • Bosentan

  • Brexanolone

  • Carbamazepine

  • Cenobamate

  • Clobazam

  • Cobicistat

  • Crizotinib

  • Crofelemer

  • Dabrafenib

  • Darunavir

  • Deutetrabenazine

  • Dulaglutide

  • Duvelisib

  • Efavirenz

  • Elagolix

  • Elvitegravir/cobicistat/emtricitabine/tenofovir df

  • Encorafenib

  • Esketamine intranasal

  • Etravirine

  • Ferric maltol

  • Fosamprenavir

  • Fosphenytoin

  • Glycerol phenylbutyrate

  • Iloperidone

  • Indinavir

  • Istradefylline

  • Itraconazole

  • Ixekizumab

  • Ketoconazole

  • Lemborexant

  • Letermovir

  • Lopinavir

  • Lorlatinib

  • Lurasidone

  • Midazolam intranasal

  • Mitotane

  • Nafcillin

  • Nelfinavir

  • Oritavancin

  • Orlistat

  • Palbociclib

  • Phenobarbital

  • Phenytoin

  • Rifampin

  • Rifapentine

  • Ritonavir

  • Saquinavir

  • Tazemetostat

  • Tecovirimat

  • Voriconazole


Dawa zenye mwingiliano mdogo Ethosuximide

  • Acetaminophen

  • Acetaminophen iv

  • Acetaminophen a kwenye puru

  • Amobarbital

  • Atracurium

  • Biotin

  • Butabarbital

  • Butalbital

  • Cisatracurium

  • Cyanocobalamin

  • Dexmethylphenidate

  • Dextroamphetamine

  • Ethotoin

  • Fosphenytoin

  • Levocarnitine

  • Lisdexamfetamine

  • Methamphetamine

  • Methylenedioxymethamphetamine

  • Onabotulinumtoxina

  • Pancuronium

  • Pentobarbital

  • Phenobarbital

  • Phenytoin

  • Primidone

  • Rapacuronium

  • Rocuronium

  • Sage

  • Secobarbital

  • Succinylcholine

  • Vecuronium


Maudhi madogo ya Ethosuximide


  • Mwili kuchoka

  • Kushindwa kulala vizuri

  • Homa

  • Kizunguzungu

  • Maumivu ya kichwa

  • Somnolence

  • Kupoteza hamu ya kula

  • Kuharisha

  • Kchefuchefu

  • Kutapika

  • Ataxia

  • Kuchanganyikiwa

  • Ulimi kuvimba

  • Degedege


Ufanye nini endapo utasahau kutumia dozi yako?


Kama umesahau kutumia dozi yako tumia mara pale utakapokumbuka, kama muda wa dozi inayofata umekaribia usimeze dozi uliyosahau endelea na dozi inayofuata kwa muda uliopangiwa na daktari. Usimeze dozi mbili kufidia uliyosahau.

17 Januari 2026, 15:31:06

Dawa Ethosuximide

Imeboreshwa,

2 Aprili 2023, 12:07:25

Dawa yoyote ni sumu, usitumie dawa pasipo ushauri wa daktari kuepuka madhara kwenye ogani mbalimbali kama figo na ini. Matumizi ya dawa pasipo ushauri wa daktari unaweza kusababisha madhara na usugu wa vimelea vya maradhi kwenye dawa.

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baad aya kusoma makala hii.

Kupata ushauri zaidi na tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya Mawasiliano yetu au Pata tiba.

Rejea za mada hii:

  1. Brunton LL, Hilal-Dandan R, Knollmann BC. Goodman & Gilman's: The Pharmacological Basis of Therapeutics. 14th ed. New York: McGraw-Hill; 2023. Antihypertensive agents.

  2. Sweetman SC, editor. Martindale: The Complete Drug Reference. 40th ed. London: Pharmaceutical Press; 2020. Methyldopa.

  3. McEvoy GK, editor. AHFS Drug Information 2024. Bethesda (MD): ASHP; 2024. Methyldopa.

  4. World Health Organization. WHO recommendations for prevention and treatment of pre-eclampsia and eclampsia. Geneva: WHO; 2023.

  5. Drugs.com. Methyldopa [Internet]. 2024 [cited 2025 Jun 5].

  6. Micromedex (IBM Watson). Methyldopa Drug Monograph. 2024.

bottom of page