Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Adolf S, MD
Dawa ya kutibu ugonjwa wa ngozi
8 Juni 2021 13:24:20

Kuna zaidi ya magonjwa elfu 3 ya ngozi yanayofahamika duniani, dawa za kutibu ya magonjwa ya ngozi hutegemea aina ya ugonjwa. Katika Makala hii imeorodhesha magonjwa mengi ya ngozi yanayotokea sana.
Magonjwa ya ngozi na dawa zake
Ili kufahamu dawa ya kila ugonjwa wa ngozi, chagua ugonjwa ulioorodheshwa hapa chini kisha andika kwenye kioksi cha tafuta chochote hapa.. juu ya tovuti hiii mfano, 'Dawa ya Malengelenge kwenye ngozi'
Orodha ya magonjwa ya ngozi
Acanthosis nigricans
Actinic keratosis
Alama za Kunguni
Alama za kuzaliwa ( madoa ya kuzaliwa)
Aleji ya Nickel
Alopecia areata
Athlete's foot
Cellulitis
Chawa kichwani
Chickenpox
Chunusi
Dandruff
Dermatitis ya mguso
Dermatitis ya kukaa
Dermatitis ya midomo
Dermatofibrosarcoma protuberan (DFSP)
Dyshidrotic eczema
Eczema
Epidermolysis bullosa
Fangasi wa kucha
Granuloma annulare
Hand-foot-and-mouth disease
Harara
Harara za pampasi
Herpes sehemu za siri
Herpes simplex
Hidradenitis suppurativa
Uvimbe wa Hive
Ichthyosis vulgaris
Impetigo
Jasho kupita kiasi
Kaswende ya ngozi
Keratosis pilaris
Kidney disease: How it can affect your skin
Kisukari kwenye ngozi
Kubakuka ngozi kwa kemikali
Kupoteza nywele
Lichen planazi
Lupasi
Lymphoma ya T-cell kwenye ngozi
Maambukizi ya shina la nywele
Magonjwa ya moyo kwenye ngozi
Makovu
Makovu ya chunusi
Makovu ya Keloid
Malenge na styes
Mashiringi
Melasma
Michirizi
Mkanda wa jeshi
Moles
Molluscum contagiosum
Neurodermatitis
Ngozi kukauka
Nummular dermatitis
Pemphigus
Pityriasis rosea
Psoriasis
Psoriasis ya kichwani
Psoriatic arthraitizi
Pumu ya ngozi
Rosacea
Rosacea ya macho
Saratani ya Melanoma
Saratani ya ngozi
Saratani ya seli za Basal
Sarcoidosis
Scabies
Scleroderma
Saratani ya Sebaceous
Saratani ya seli za Merkel
Saratani ya seli za Squamous
Seborrheic dermatitis
Seborrheic keratoses
Sumu ya Botulinum
Sumu ya ivy, oak, na sumac
Tinea versicolor
Ugonjwa wa Lyme
Ukoma
Uoto HPV wa sehemu za siri
Uoto wa HPV
Vidonda homa kwenye midomo
Vitiligo
Xeroderma pigmentosum
Kumbuka
Kila siku uly clinic inaongeza dawa kwa magonjwa yaliyoorodheshwa, hivyo usisite kurejea wakati mwingine kupata orodha kubwa zaidi.
Kusoma kuhusu dawa bofya ugonjwa unaotaka kisha utapelekwa moja kwa moja kwenye ugonjwa unaotaka kujua dawa yake.