Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Adolf S, MD
Dawa za kolestro
18 Juni 2021 13:15:54
Dawa za kolestro katika makala hii imetumika kumaanisha dawa za kupunguza kiwango cha kolestro (lehemu) kwenye damu na hufahamika kwa jina jingine kama dawa jamii ya statin au dawa za kushusha lehemu wkenye damu.
Orodha ya dawa za kushusha kolestro kwenye damu ni;
Atorvastatin (Lipitor)
Fluvastatin (Lescol)
Lovastatin (Altoprev)
Pitavastatin (Livalo)
Pravastatin (Pravachol)
Rosuvastatin (Crestor)
Simvastatin (Zocor)
Majina mengine ya dawa za kolestro
Majina mengine ya dawa hizi watu hufahamu kama;
Dawa za kuyeyusha mafuta kwenye damu
Dawa za lehemu
Dawa za kushusha rehamu kwenye damu
Dawa za kushusha cholesterol kwenye damu
Dawa ya cholesterol
Dawa ya kuondoa mafuta kwenye moyo
Wapi unaweza kupata maelezoz aidi kuhusu dawa za kolestro?
Kupata maelezo zaidi kuhusu dawa za kolestro, ingia kwenye makala za dawa kwa kutafuta kila dawa ili kusoma maelezo ya dawa na namna inavyofanya kazindani ya tovuti ya ulyclinic