top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
ULY CLINIC
Dawa za fangasi usoni
13 Agosti 2023 09:46:23
Fangasi wa usoni ni maambukizi ya fangasi kwenye Ngozi ya uso tu, maambukizi kwa wanawake na Watoto hutokea sana kwenye maeneo ya mdomo wa juu (lipsi ya juu) na kwenye kidevu, kwa wanaume maambukizi yakitokea kwenye maeneo yenye ndevu huitwa kwa jina maambukizi ya fangasi kwenye nywele za ndevu- Tinea Barbae
Orodha ya dawa
Dawa zitumikazo ni pamoja na;
Butenafine
Dawa ya kupaka ya Clotrimazole
Miconazole
Econazole
Oxiconazole
Tonaftate
Ciclopirox
Terbinafine
Itraconazole
Fluconazole
Griseofulvin
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
13 Agosti 2023 09:46:23
BNF 2021
bottom of page