top of page
Mwandishi:
Dkt. Sospeter B, M.D
Mhariri:
Dkt. Peter A, M.D

Dawa za fangasi wa mwili

10 Julai 2023 17:47:16
Image-empty-state.png

Fangasi wa mwili hufahamika kama mashiringi na kwa jina lakitiba kama Tinea corporis. Maambukizi ya fangasi wa mwili hutokea kwenye kiwiliwili isipokuwa maambukizi kwenye maeneo ya viganja vya miguu na mikono, sehemu za siri, uso, mapaja na kichwani.

Dawa zinazotumika kwenye matibabu ya Fangasi wa kiwiliwili huweza kuwa dawa za kupaka au kumeza.

Orodha ya dawa

Dawa za kutibu maambukizi ya Tinea corporis ni pamoja na;

  • Dawa ya kupaka ya Naftifine 1%

  • Terbinafine

  • Ciclopirox

  • Dawa ya kupaka ya Butenafine 1%

  • Fluconazole

  • Itraconazole

  • Terbinafine

  • Griseofulvin

  • Clotrimazole

  • Ketoconazole

  • Miconazole

  • Oxiconazole

  • Dawa ya kupaka ya Sulconazole 1%

  • Luliconazole

ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha  vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
10 Julai 2023 17:47:16
BNF 2019
bottom of page