top of page
Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, M.D
Mhariri:
Dkt. Salome A, M.D
Dawa za kutibu Gauti
10 Julai 2023 18:51:08
Dawa hizi zinazuia kufanyika kwa mawe kwenye figo na magoti , kufanyika kwa mawe haya husababisha kutokea kwa maumivu ya gauti;
Orodha ya dawa
Potassium citrate; urokit-K, polycitra-K
Colchicine
Sodium bicarbonate
Sodium citrate
(haitumiki sana kwa sababu madini ya sodium huongeza chumvi mwilini hivyo kusababisha maji mengi yatuame na kuleta shida hasa kwa wagonjwa wa wenye tatizo la moyo, ini au figo kuferi.
Potassium bicarbonate
Allopurinol
Febuxostat
Pegloticase
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
10 Julai 2023 18:51:08
BNF 2019
bottom of page