top of page
Imeandikwa na daktari wa ulyclinic
Dawa za kutibu maumivu ya hedhi
Dawa jamii ya NSAIDs ambazo zinakubalika na shirika la dawa duniani(FDA) kutibu maumivu wakati wa hedhi ni pamoja na;
-
Diclofenac
-
Ibrupofen
-
Ketoprofen
-
Meclofenamate
-
Mefenamic acid
-
Naproxen
Dawa zingine zilizokuwa zinatumika ni pamoja na;
-
Aspirin
-
Acetaminophen- paracetamol
-
COX-2 Inhibitors
-
Montelukast
Ingawa shirika la dawa duniani halijakubali zitumike, dawa zingine za uzazi wa mpango zinazoweza kutibu ni pamoja na;
-
Dawaza uzazi wa mpango aina ya levonogesrel
-
Dawa ya kuchoma ya Medroprogesterone acetate
Mbinu za kuzuia maumivu ya hedhi ni pamoja na;
-
Kubadili mfumo wa Maisha
-
Kuacha kuvuta sigara
-
Kufanya mazoezi
Imeboreshwa 12.02.2020
bottom of page