top of page

Imeandikwa na daktari wa ulyclinic

 

Dawa za kutibu Fangasi wa kwenye Ngozi

​

Maambukizi ya fangasi kwenye kiwiliwili kwa jina jingine huitwa Tinea corporis ni maambukizi yanayotokea kwenye kiwiliwili isipokuwa maambukizi kwenye maeneo ya viganjani vya miguu na mikoni, maeneo ya sehemu za siri, usoni, na mapaja na maeneo ya kichwani.

​

Dawa zinazotumika kwenye matibabu ya Fangasi wa kiwiliwili huweza kuwa dawa za kupaka au kumeza.

​

Kumbuka kupata ushauri wa daktarin kabla ya kutumia dawa hizi;

​

  • Dawa ya kupaka ya Naftifine 1%

  • Terbinafine

  • Ciclopirox

  • Dawa ya kupaka ya Butenafine 1%

  • Fluconazole

  • Itraconazole

  • Terbinafine

  • Griseofulvin

  • Clotrimazole

  • Ketoconazole

  • Miconazole

  • Oxiconazole

  • Dawa ya kupaka ya Sulconazole 1%

  • Luliconazole

​

Imeboreshwa 12.02.2020

bottom of page