Imeandikwa na daktari wa ULY CLINIC
Dawa za kutibu Gauti
​
Dawa hizi zinazuia kufanyika kwa mawe kwenye figo na magoti , kufanyika kwa mawe haya husababisha maumivu ya gauti;
​
Tahadhari- usitumie dawa bila ushauri wa daktarin wako, wasiliana na daktarin siku zote ili ajue tatito lako ni nini na upate dawa na dozi sahihi kulingana na mahitaji ya mwili wako.
​
-
Potassium citrate; urokit-K, polycitra-K
-
Colchicine
-
Sodium bicarbonate
-
Sodium citrate
-
(haitumiki sana kwa sababu madini ya sodium huongeza chumvi mwilini hivyo kusababisha maji mengi yatuame na kuleta shida hasa kwa wagonjwa wa wenye tatizo la moyo, ini au figo kuferi.
-
-
Potassium bicarbonate
-
Allopurinol
-
Febuxostat
-
Pegloticase
​
Kusoma kuhusu gauti bofya hapa
ULY CLINIC inakushauri siku zote ufuate ushauri wa wataalamu wa afya kabla ya kujichukulia hatua yoyote ile
​
Wasiliana na daktari wwa ULY CLINIC kwa elimu na ushauri zaidi kupitia namba za simu aku kw akubonyeza 'Pata Tiba chini ya tovuti hii;
​
Imeboreshwa 30.12.2020