top of page

Imeandikwa na ULY CLINIC

 

Dawa za mafua ya kirusi cha Influenza

Dawa za kutibu au kukukinga kupata mafua ya kirusi cha influenza ni

 

  • Rapivab (Hufahamika kwa Jina jingine la peramivir)

  • Relenza (Hufahamika kwa Jina jingine la zanamivir)

  • Tamiflu (Hufahamika kwa Jina jingine la oseltamivir)

  • Xofluza (Hufahamika kwa Jina jingine la baloxavi au marboxil)

 

Dawa zilizokuwa zinatumika zamani kama amantadine  na rimantadine kwa sasa hazina uwezo kwenye baadhi ya nchi ambazo tayari virusi vimekuwa sugu dhidi ya dawa hii.

 

Kumbuka:

  • Dawa zilizoorodheshwa hapo juu hutumika kwa kuandikiwa na daktari tu

  • Viini vya mafua vikitengeneza usugu kwenye dawa, dawa hiyo haitafaa tena kwako kutumika kama tiba

 

 

ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kufanya maamuzi yoyote yale baada ya kusoma makala hii

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri zaidi na Tiba kwa kubonyeza ‘Pata tiba’ au piga namba za simu chini ya tovuti hii.

​Imeboreshwa 28.2.2021

Rejea za mada hii;

 

  1. FDA. Influenza antviral. https://www.fda.gov/drugs/information-drug-class/influenza-flu-antiviral-drugs-and-related-information. Imechukuliwa 28.2.2021

  2. David A. Boltz, et al. Drugs in Development for Influenza. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC5558450/#. Imechukuliwa 28.2.2021

  3. Nicola Principi et al. Drugs for Influenza Treatment: Is There Significant News? https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC6546914/. Imechukuliwa 28.02.2021

bottom of page