top of page

Imeandikwa na daktari wa ULY CLINIC

Dawa za kutibu shinikizo la juu la damu-presha

Makala hii imezungumzia dawa za kushusha presha au kwa jia jingine dawa za  kushusha shinikizo la juu la damu.

 

Shinikizo la juu Ka damu ni hali inayotokea endapo shinikizo la damu la systolic lipo Kati ya 120 na 129 na diastolic Chini ya 80 Hadi 89 , shinikizo la damu hatua ya Kwanza hutokea endpo shinikizo la systolic Kati ya 130 Hadi 139 mmHg na shinikizo la diastolic kuwa Kati ya 80 Hadi 89mmHg

dawa zinazotumika kutibu shinikizo la damu ni kama zilivyoorozeshwa hapa chini;

Kumbuka usitumie dawa yoyote pasipo ushauri kutoka Kwa daktari wako, wasiliana na daktari wako siku zote kabla ya kutumia tiba yoyote Ile.

Imeboreshwa  3.2.2021

bottom of page