Imeandikwa na ULY CLINIC
Dawa za kutibu Taifod
Zipo dawa nyingi zinazoweza kutumika kwenye matibabu ya ugonjwa wa taifod (homaya matumbo), siku zote wasiliana na daktari wako ili akuchagulie dawa inayoendana na tatizo lako pamoja na hali yako ya kiafya. Matumizi ya dawa hizi ni kwa hatari yoko mwenyewe na ULY Clinic haichukui dhamana yoyote kwa madhara yatakayojitokeza kwa kutumia dawa hizi
Baadhi ya dawa unazoweza kuandikiwa na daktari kwa matibabu ya taifodi ni pamoja na;
-
Ceftriaxone
-
Azithromycin
-
Ciprofloxacin
-
Moxifloxacin
-
Levofloxacin
-
Chloramphenicol
Kimelea salmonella typhi ameendelea kuwa sugu dhidi ya dawa nyingi haswa katika maeneo yenye maambukizi ya hali ya juu. Endapo unataka matibabu sahihi ya taifodi ambayo haiponi, ni vema ukafanya kipimo cha culture and sensitivity.
Unakumbushwa na ULY CLINIC kuwasiliana na daktari wako kwa ushauri na uchunguzi kabla ya kuanza matibabu yoyote yale.
Wasiliana na daktari wa ULY clinic kwa elimu na ushauri kupitia namba za simu au kubonyeza 'Pata Tiba'
Imeboreshwa 06.02.2021
Rejea za mada hii
-
Typhoid Fever . https://www.msdmanuals.com/professional/infectious-diseases/gram-negative-bacilli/typhoid-fever. Imechukuliwa 06.02.2021
-
Ryan ET. Epidemiology, microbiology, clinical manifestations, and diagnosis of typhoid fever. https://www.uptodate.com/contents/search. Imechukuliwa 06.02.2021
-
Centers for Disease Control and Prevention. Typhoid fever.https://www.cdc.gov/typhoid-fever/index.html. Imechukuliwa 06.02.2021
-
Victoria state government. Typhoid and paratyphoid. https://www2.health.vic.gov.au/public-health/infectious-diseases/disease-information-advice/typhoid-and-paratyphoid. Imechukuliwa 06.02.2021
-
WHO. Immunization, Vaccines and Biologicalshttps://www.who.int/teams/immunization-vaccines-and-biologicals/diseases/typhoid. Imechukuliwa 06.02.2021
-
Centers for Disease Control and Prevention. Typhoid Fever and Paratyphoid Fever. https://www.who.int/teams/immunization-vaccines-and-biologicals/diseases/typhoid. Imechukuliwa 06.02.2021
-
S. L. Hoffman, et al. Effective treatment and prevention of typhoid fever. Updated. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC2279614/. Imechukuliwa 06.02.2021
-
Malick M. Gibani, et al. Typhoid and paratyphoid fever: a call to action. https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC6319573/. Imechukuliwa 06.02.2021