top of page

Imeandikwa na madaktari wa ulyclinic

 

Dawa za kutibu tezi dume

Dawa za kutibu na  kupunguza tezi dume iliyovimba ni pamoja na;

  • Terazosin

  • Alfuzosin

  • Doxazosin

  • Phenoxybenzamine

  • Prazosin

  • Indolamin

  • Tamsulosin

  • Finasteride

  • Dutasteride

Wasiliana na daktari kabla ya kutumia dawa yoyote ile kwa usalama wa afya yako

Imeboreshwa 12.02.2020

bottom of page