Imeandikwa na ULY CLINIC
Dawa za kutibu mafua ya virusi na mzio(aleji)
1. Dawa za kutibu mafua ya kirusi cha influenza
Dawa hizi zimeruhusiwa na shirika la dawa la America FDA kutumika kwa ajili ya matibabu ya mafua yanayosababishwa na kirusi cha Influenza.
-
Rapivab (peramivir)
-
Relenza (zanamivir)
-
Tamiflu (oseltamivir)
-
Xofluza (baloxavir marboxil)
Dawa zilizokuwa zinatumika zamani kama amantadine na rimantadine kwa sasa hazina uwezo kwenye baadhi ya nchi ambazo tayari virusi vimekuwa sugu dhidi ya dawa hii.
2. Dawa za kutibu mafua ya aleji
-
Diphenhydramine
-
Fexofenadine
-
Loratadine
-
Pseudoephedrine
-
Oxymetazoline
-
Codeine
-
Hydrocodone
-
Dextromethorphan
-
Guaifenesin
-
Vitamin C
Endapo una mafua na unapata homa, unaweza kutumia dawa za maumivu kama
-
Aspirin (isitumike kwa watoto chini ya umri wa miaka 18)
-
Acetaminophen (panado)
-
Ibuprofen au dawa zingine jamii ya NSAID
Kumbuka baadhi ya dawa kwenye orodha hii utazipata kwa kuandikiwa na daktari tu
Usitumie dawa endapo hujapata ushauri kutoka kwa daktari wako
ULY CLINIC inakushauri siku zote uwasiliane na daktari wako kabla ya kufanya maamuzi yoyote yale baada ya kusoma makala hii
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri zaidi na Tiba kwa kubonyeza ‘Pata tiba’ au piga namba za simu chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa, 03.03.2021
Rejea za mada hii;
-
Nicola Principi et al. Drugs for Influenza Treatment: Is There Significant News? https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC6546914/. Imechukuliwa 28.02.2021
-
@ULY CLINIC maswali na majibu
-
CDC. What You Should Know About Flu Antiviral Drugs. https://www.cdc.gov/flu/treatment/whatyoushould.htm. Imechukuliwa 28.02.2021
-
Brenda L. Tesini. Influenza (Flu). https://www.merckmanuals.com/home/infections/respiratory-viruses/influenza-flu. Imechukuliwa 28.02.2021