top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

Dkt. Sospeter M, MD

Dkt. Lugonda B, MD

27 Agosti 2026, 05:28:28

Bicolex

Bicolex

Bicolex ni jina la kibiashara la dawa inayofahamika kama Bisacondyl. Bisacondyl ni dawa iliyo kwenye kundi la dawa za kuchochea na kulegeza matumbo inayotumika katika matibabu ya haja ngumu.


Wapi unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu Bicolex?


Soma maelezo ya Bicolex kuhusu magonjwa inayotibu, maudhi, madhara, namna dawa inavyofanyakazi na maelezo mengine kwenye mada zinazohusu:



Majina mengine ya kibiashara ya Bisacodyl


Majina mengine yanayoashiria bisacondyl ni:


  • Alophen

  • Baxative

  • Baxative (5 mg)

  • Bidlax -5

  • BisacEvac

  • Bisacodyl (5 mg)

  • Bisacodyl -5

  • Bisacolax

  • Bisariv

  • Bo Lax

  • Codulax

  • Conlax

  • Conlax (10 mg)

  • Correctol

  • Dulcolax

  • Dulcolax (10mg)

  • Dulcolax (Susp 5mg)

  • Feen A Mint

  • Fleet Stimulant Laxative

  • Julax – M

  • Julax (10 mg)

  • Junifree –RDS

  • Laxit

  • Modane

  • Orcolax

  • Saflax

  • Unilax


Makala hii inasaidia kujibu na kupata linki ya kusoma kuhusu:


Bicolex ni dawa gani?, Bicolex ni nini?, Bicolex inatibu nini?, Bicolex hutibu nini?, Bicolex inatibu ugonjwa gani?, Bicolex inaruhusiwa kutumika na pombe?, Bicolex na pombe, Dawa ya bicolex, mjamzito anaweza tumia bicolex?, Bicolex naitumiaje?, Bicolex ni dawa ya nini?, Bicolex inafanya kazi baada ya masaa mangapi?, Je, Bicolex kwa siku unakunywa vidonde vingapi?, Matumizi ya Bicolex, Bicolex ina madhara?, Bicolex hukaa muda gani mwilini?,

ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha  vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 19:24:55

Rejea za mada hii:-

  1. Bisacondyl trade names. https://www.medindia.net/drug-price/bisacodyl.htm. Imechukuliwa 04/06/2022

  2. Bisacondyl. https://www.ulyclinic.com/dawa/Dawa-bisacodyl. Imechukuliwa 04/06/2022

  3. BISACODYL. https://www.rxlist.com/consumer_bisacodyl_dulcolax/drugs-condition.htm. Imechukuliwa 04/06/2022

  4. Bisacodyl (OTC). https://reference.medscape.com/drug/dulcolax-correctol-bisacodyl-342008. Imechukuliwa 04/06/2022

bottom of page