top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

Dkt. Sospeter M, MD

Dkt. Lugonda B, MD

27 Agosti 2026, 05:28:28

Claranta 500

Claranta 500

Claranta 500 ni jina la kibiashara la dawa inayofahamika kama clarithromycin. Clarithromycin ni aina ya antibayotiki inayotumika kutibu maambukizi ya bakteria.


Claranta 500 humaanisha dawa ya clarithromycin yenye uzito wa miligramu 500.


Wapi unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu clarithromycine



Soma maelezo zaidi ya claranta kuhusu magonjwa yanayotibiwa na dawa, maudhi na maelezo mengine kwenye mada zinazohusu:



Majina mengine ya kibiashara ya clarithromycin


Majina mengine yanayoashiria clarithromycin ni:


  • ADEL

  • ANZOPAC

  • BIAXIN XL

  • BICLAR

  • BREMON

  • CLACIN

  • CLACINA

  • CLAMICIN

  • CLAMYCIN

  • CLARIMAX

  • CLARINEO

  • CLARITAB

  • CLARITH

  • CLARITUR

  • CLARON

  • CLERON

  • CRIXAN

  • CYLLIND

  • ERRADIC

  • EUROMICINA

  • FROMILID

  • GERVAKEN

  • HELICLAR

  • HELICLEAR

  • HELICODID

  • HELIKLAR

  • HELIMET

  • HELIPAC

  • HELIPAK K

  • HP-PAC

  • INFEX

  • KARIN

  • KLACID

  • KLACIPED

  • KLAMIRAN

  • KLARI

  • KLARICID

  • KLARIDEX


Makala hii inasaidia kujibu na kupata linki ya kusoma kuhusu:


Claranta 500 ni dawa gani?, Claranta 500 ni nini?, Claranta 500 inatibu nini?, Claranta 500 hutibu nini?, Claranta 500 inatibu ugonjwa gani?, Claranta 500 inaruhusiwa kutumika na pombe?, Claranta 500 na pombe, Dawa ya Claranta 500, mjamzito anaweza tumia Claranta 500?, Claranta 500 naitumiaje?, Claranta 500 ni dawa ya nini?, Claranta 500 inafanya kazi baada ya masaa mangapi?, Je, Claranta 500 kwa siku unakunywa vidonde vingapi?, Matumizi ya Claranta 500, Claranta 500 ina madhara?, Claranta 500 hukaa muda gani mwilini?

ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha  vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 19:24:55

Rejea za mada hii:-

  1. Brand name of clarithromycin. http://www.antimicrobe.org/drugpopup/Clarithromycin%20-%20Brand%20names.htm> imechukuliwa 04.06.2022

  2. ULY CLINIC. Clarithromycin na ujauzito. https://www.ulyclinic.com/madhara-ya-dawa-kwa-mjamzito-na-mto/clarithromycin-na-ujauzito. Imechukuliwa 04.06.2022

bottom of page