top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeboreshwa:

Dkt. Sospeter M, MD

Dkt. Lugonda B, MD

27 Agosti 2026, 05:28:28

Cledomox

Cledomox

Ni jina la kibiashara la dawa inayojulikana kama amoxiclav, ambayo ni muunganiko wa dawa mbili yaani Amoxicilin na clavulanate potassium. Dawa hii hutumika kutibu maambukizi mbali mbali mwilini yanayosababishwa na bakteria


Uzito wa cledomox


Dawa hii hupatikana katika fomu ya vidonge na dawa ya unga ambayo huchanganywa na maji kupata dawa ya maji katika uzito ufuatao


Vidonge

  • 250 mg/125 mg (amoxcilin miligramu 250 na clavulanate potassium miligramu 125)

  • 500 mg/125 mg (amoxcilin miligramu 500 na clavulanate potassium miligramu 125)

  • 875 mg/125 mg (amoxcilin miligramu 875 na clavulanate potassium miligramu 125)

  • 1000 mg/62.5 mg (amoxcilin miligramu 1000 na clavulanate potassium miligramu 125)

  • 200 mg/28.5 mg (amoxcilin miligramu 200 na clavulanate potassium miligramu 28.5)

  • 400 mg/57 mg (amoxcilin miligramu 400 na clavulanate potassium miligramu 57)


Dawa ya maji

  • (125 mg/31.25 mg)/5 ml- amoxcilin miligramu 125 na clavulanate potassium miligramu 31.25, katika ujazo wa mililita 5

  • (200 mg/28.5 mg/)5 ml - amoxcilin miligramu 200 na clavulanate potassium miligramu 28.5, katika ujazo wa mililita 5

  • (250 mg/62.5 mg/)5ml- amoxcilin miligramu 250 na clavulanate potassium miligramu 62.5, katika ujazo wa mililita 5

  • (400 mg/57 mg/)/5ml- amoxcilin miligramu 400 na clavulanate potassium miligramu 57, katika ujazo wa mililita 5

  • (600 mg/42.9 mg)/5ml- amoxcilin miligramu 600 na clavulanate potassium miligramu 42.9, katika ujazo wa mililita 5


Wapi unaweza kupata maelezo zaidi?


Kupata maelezo zaidi kuhusu cledomox/amoxiclav soma mada inayohusiana na amoxiclav


Majina mengine ya kibiashara ya Cledomox


Yafuatayo ni majina mengine ya kibiashara ambayo humaanisha amoxcilin/clavulanate potassium ni:


  • Augmentin

  • Augmentin XR

  • Augmentin ES-600

ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha  vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.

Imeandikwa:

2 Aprili 2026, 19:24:55

Rejea za mada hii:-

  1. Amoxicillin-potassium-clavulanate .https://www.medopharm.com/radiant/cledomox-625-amoxicillin-potassium-clavulanate-tablets/. Imechukuliwa 23.09.2022

  2. Amoxicillin-potassium-clavulanate. https://www.drugs.com/search.php?searchterm=amoxicillin%2Fclavulanate&a=1. Imechukuliwa 23.09.2022

  3. Amoxicillin clavulanate . https://www.drugs.com/amoxicillin_clavulanate.html. Imechukuliwa 23.09.2022

  4. Augumentin. https://reference.medscape.com/drug/augmentin-amoxicillin-clavulanate-342474. Imechukuliwa 23.09.2022

bottom of page