Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
Dkt. Sospeter M, MD
Dkt. Lugonda B, MD
2 Aprili 2026, 11:54:28

Dawa dydrogesterone
Majina mengine ya dydrogesterone
Dydrogesterone hufahamika pia kwa majina mengine ya kibiashara kama:
Duphaston
Dufaston
Namna Duphaston inavyofanya kazi
dydrogesterone hufanya kazi kwa kuigiza kazi zinazofanywa na homoni asili inayozalishwa mwilini yenye jina la projesteroni. Dawa hii huimarisha na kusawazisha madhaifu yanayotokana na upungufu wa homoni projesteroni.
Matumizi ya  dydrogesterone
Dydrogesterone ya kidonge hutumika kutibu madhaifu yafuatayo yanayohusiana na upungufu wa homoni progesterone.
Endometriosisi ( kukua kwa tishu za kuta za ndani ya kizazi nje ya kizazi)
Kutokwa na damu pasipo mpangilio wakati wa hedhi
Dalili tangulizi za hedhi zilizo kali
Ugumba una
Kuharibika kwa mimba
Maumivu makali wakati wa hedhi
Kukosa hedhi
Hedhi isiyoeleweka
Â
Wakati gani hairuhusiwi kutumia dydrogesterone
Haipaswi kutumika kwa watuw enye mzio na dawa hii
Kwa wenye saratani ya meningioma
Kuwa na tatizo la kutokwa damu ukeni pasipo kufahamika sababu
Â
Dawa zenye mwingilino na dydrogesterone
Abciximab
Acenocoumarol
Alteplase
Ancrod
Anistreplase
Antithrombin Alfa
Antithrombin III human
Apixaban
Ardeparin
Argatroban
Bemiparin
Betrixaban
Bivalirudin
Cangrelor
Dabigatran etexilate
Dabigatran
Dalteparin
Danaparoid
Defibrotide
Desirudin
Dextran
Dicoumarol
Dipyridamole
Drotrecogin alfa
Edetic acid
Edoxaban
Enoxaparin
Epoprostenol
Fluindione
Fondaparinux
Heparin
Lepirudin
Nadroparin
Parnaparin
Pentosan polysulfate
Phenindione
Phenprocoumon
Prasugrel
Protein C
Protein S human
Reteplase
Reviparin
Rivaroxaban
Sodium citrate
Streptokinase
Sulodexide
Tenecteplase
Ticagrelor
Tinzaparin
Triflusal
Urokinase
Vorapaxar
Warfarin
Ximelagatran
Amiodarone
Amprenavir
Aprepitant
Atazanavir
Berotralstat
Boceprevir
Ciprofloxacin
Clarithromycin
Clozapine
Cobicistat
Conivaptan
Crizotinib
Curcumin
Cyclosporine
Danazol
Darunavir
Delavirdine
Desvenlafaxine
Diltiazem
Dronedarone
Efavirenz
Elvitegravir
Ergotamine
Erythromycin
Fluconazole
Fluvoxamine
Fosnetupitant
Fusidic acid
Indinavir
Isavuconazole
Isavuconazonium
Isoniazid
Isradipine
Itraconazole
Ketoconazole
Levoketoconazole
Linagliptin
Lonafarnib
Lopinavir
Lovastatin
Methimazole
Miconazole
Midostaurin
Milnacipran
Nefazodone
Nelfinavir
Maudhi na madhara ya dydrogesterone
Kutokwa damu ukeni
Kipanda uso
Maumivu ya kichwa
Kichefuchefu
Kutapika
Maumivu ya tumbo
Maumivu ya matiti yakiguswa
Duphaston wakati wa ujauzito
Duphaston mara nyingi hutumika kusaidia ujauzito, hasa pale ambapo mama ana historia ya:
Kutishia kuharibika kwa mimba
Upungufu wa projesteroni
Matatizo ya homoni yanayoweza kuathiri ujauzito
Tafiti zinaonyesha kuwa dawa hii ni salama kwa matumizi ya ujauzito inapowekwa na daktari.
Wakati gani usitumie Duphaston?
Ukiwa na mzio kwa dydrogesterone
Ukiwa na matatizo makubwa ya ini
Ukiwa na damu kuganda visivyo (deep vein thrombosis) isipokuwa kwa mwongozo wa daktari
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeandikwa:
2 Aprili 2026, 11:54:28
Rejea za mada hii:-
